Haya sasa....msopenda kutoa hela ya kusuka mnajionyesha hadharani๐๐๐Basi ninavyopenda mwanamke asie suka!!
[emoji120][emoji120]Asante ustadh
Heri kwako pia
Kuna baridi hatariMbona iko vizuri hii.
Sema ulikuwa huna mpango tu[emoji4]Nisamehe
Weeee usiniponze...๐ฅด๐ฅด 2 yrs nilinyoa....ngoja nijitahidi miwili ya kuzifuga nione zitafikia wapi๐Kunyoa ndio habari ya mjini[emoji4]
Oohh kumbe ulikuwa HapoHaya maeneo ndio nimepiga picha hiyo [emoji848][emoji848]
Kumbe yupo๐Hawezi kuwa mkorofi mpaka apigwe/ninpige ban la jumla jumla ๐๐
Asanteee!๐
Ila nsha-save sabuni za kutosha the past 2 years jamani.๐ฅด
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weeee usiniponze...[emoji3061][emoji3061] 2 yrs nilinyoa....ngoja nijitahidi miwili ya kuzifuga nione zitafikia wapi[emoji846]
Tuombe uzima ntakutoa mapinduzi daySema ulikuwa huna mpango tu[emoji4]
Nilishakuona siku nyingi nakuzoom tu.๐๐๐Jasusi mbobevu mie
DodomaWapi hiyo
who told u๐Haya sasa....msopenda kutoa hela ya kusuka mnajionyesha hadharani๐๐๐
Mimi huwa nina sikukuu 2 tu!Tuombe uzima ntakutoa mapinduzi day
WeeeeeHapana mkuu uwezo huo natoa wapiii
๐ ๐ safiNimeacha Mkuu
kwa maana hio hela ya kusuka kila wkend nitakua sitoi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sasahivi nashindwa kusuka.
Nikisuka Leo,kesho kichwa chote kinawasha..siwezi hiyo kazi ya kujikuna kama mwehu.
๐๐๐ Ebooh Jasusi mwenzangu sio๐Nilishakuona siku nyingi nakuzoom tu.
๐ฅ๐ ๐ safi
Hata kama ningekuwa simjui bado angekuwepo...out there...somewhere akipoteza poteza muda ๐๐Kumbe yupo๐
Tuendelee kusave hela tunazopata Tupate baraka kupitia page ya malisa GJ
Milele tena.Haitoshi mkuu labda Forever tena