saiv nitakua mwepesi hata kwenye ile amri ππ sema kakitambi kakufutia simu na kakukopea hamna Tena,, nimekaa karibu miez miwili , ntakuja kwenu uniombee au vp?Pole sana ila afadhali kitambi kimeisha[emoji14][emoji14]
Kwahiyo ulikaa siku ngapi huko??
Nipo mbeya ndiyo.
Karibu sana,ungesema mapema ningekuja kukuchukua ule pilau...saiv nitakua mwepesi hata kwenye ile amri [emoji2][emoji2] sema kakitambi kakufutia simu na kakukopea hamna Tena,, nimekaa karibu miez miwili , ntakuja kwenu uniombee au vp?
πππ bora kitambi kimetoka,, kesho nakuja sweethome uyole jumapili unipeleke unakosaligiKaribu sana,ungesema mapema ningekuja kukuchukua ule pilau...
Maombi nitakufanyia hadi shetani atakoma.
Simu utafuta na kitambaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watoto wadogo mnakuwa na vitambi!
Ulisikia wapi??[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1664896
Afadhali [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] bora kitambi kimetoka,, kesho nakuja sweethome uyole jumapili unipeleke unakosaligi
Kwel Mkuu kikubwa uhai na utu tukweli mkuu nimezitia Moto kweli kua uyaone
Shukran Mkuu.Asante na kwako pia heri ya mwaka mpya Chief
Mkuu wanaume huwa tunajipa moyo tu kwenda rumande tunaona kama ni sehemu ya maisha tuu.Sio kweli ndugu. Ziko jela za namna nyingi katika tafsiti ambazo mwanaume huwa anapitia lakini si kwakwamba kutokuwekwa jala ya polisi au ya magereza sio mwanaume!!
poa Basi nitakupeleka ukaonje st Anne angalau usadifu yaliyomo kwenye jina lakoAfadhali [emoji23][emoji23]
Karibu sana,japo Mbeya bado sina sehemu permanent ya kusali..natalii talii bado.
Sijapata sehemu iloyonivutia.
kikao cha wazazi tarime Mara[emoji2146]View attachment 1664758
Unataka nishindwe kurudi nyumbani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]poa Basi nitakupeleka ukaonje st Anne angalau usadifu yaliyomo kwenye jina lako
Wacha bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli mkuu nimezitia Moto kweli kua uyaone
Wow jomoni [emoji39][emoji39][emoji39]See never Dry.View attachment 1664756
Mimi mwenyewe nilikuwa siijuiKipendhiii mbna siijui hii? Lol
Homie Za rumande ukitoka lazima uzipige moto tunaamini zinatoka na vingi ila za ajali sawaa tuu.Wacha bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nguo nilizowahi kugongwa nazo Sangu sikuzitia Moto,na siku mojamoja nilikuwa navaa Sweta Kama ukumbusho japo ilikuwa imetoboka sana.
Mtakatifu anna kasemaje kuhusu hili Saint AnneSee never Dry.View attachment 1664756
See never Dry.View attachment 1664756
Naishia tu kuziona humu.Mtakatifu anna kasemaje kuhusu hili Saint Anne
πππShukran Mkuu.
Ushatoka zenji??
Mwambie half time aje Jf basi...ππππ
Hebu niwache nijiinjoi na mwamba kwanza nikimaliza nitakujibuπ€ͺπ€ͺπ€ͺ
[emoji7][emoji7][emoji7]wacha bwana[emoji16][emoji16][emoji16]
Hebu niwache nijiinjoi na mwamba kwanza nikimaliza nitakujibu[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Wacha bhana......ππππMwambie half time aje Jf basi...π