Asante saaana.Huu Ni Mwaka alioufanya Bwana
2021[emoji177]
Heri ya Mwaka mpya kwa kila mmoja[emoji3590]
•Bwana akubariki na kukulinda[emoji119]
Ulinzi wa damu yake uende pamoja nawe,akulinde na hila na hatari na magonjwa na ajali..ukawe salama.
•Bwana akuangazie Nuru za uso wake na kukufadhili.[emoji120]
Mwanga wake ukafanye njia juu yako ..ukafungue mafanikio katika uchumi na katika Mambo yote.
•Bwana akuinulie uso wake na kukupa amani.[emoji120][emoji6]
Amani yake iwe pamoja nawe,katika nyakati zote amani yake itawale moyoni mwako..uso Wake uende pamoja nawe.
Natamka mafanikio na Baraka,
Mwaka huu ukawe wa mafanikio
Ukawe wa ushuhuda,ukawe was neema,ukawe wa kuvuka katika Mambo yote.
Mungu akubariki kazi yako ikazae moja kwa thelathini hadi Mia [emoji3590][emoji120].
Upendo wetu uzidi kudumuView attachment 1664348
Ni kwa watu wote.Asante saaana.
Lakini dua hii ni kwa kila mtu au ni baadhi ya wenye kuamini kwenye mrengo wa hio dua?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Basi asante mno! Ikawe hivyo kwako na kuzidi pamoja na walio wako.Ni kwa watu wote.
Mungu ni mmoja na ndiye huyo niliyemuomba.
Ni kwa watu wote.
Mungu ni mmoja na ndiye huyo niliyemuomba.
Nimenukuu Old Testament verses(Numbers)
Hii ni before Christ.
Basi asante mno! Ikawe hivyo kwako na kuzidi pamoja na walio wako.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Daaaha niseme tu Asante maana!! Sio kwa huo mkwamoAsante sana rafiki[emoji3590].
Ikawe heri kwako pia na familia yako..
Nakutamkia mafanikio katika Mambo yote,sehemu uliyokwama Mungu na akafanye njia[emoji4][emoji120]
Mambo yote yanaenda kuwa sawaDaaaha niseme tu Asante maana!! Sio kwa huo mkwamo
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Nimenukuu Old Testament verses(Numbers)
Hii ni before Christ.
Inawezekana ikawa hivyo.Maandiko yote yawe yalio kabla na baada ya Kristo sio wote wanao ya amini, japo wanayo ya amini yamenukuliwa kule wasiko amini.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Oh basi kila mtu atachukua sehemu anayoiamini.Kusema hivyo tuu Mungu akubariki sio shida, ila pale Damu ya Bwana ikufunike ama ifanye some things kwa ajili yake hapo anakua haamini tena maana haamini kwamba kuna Alie mwaga Damu yake kwa ajili ya watu. wao wanaona ni udanganyifu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Selfika sasa.Muda mzuri wa kujiselfie huu [emoji86][emoji86]
Uko sawa na ndivyo inavyotakikana maana kwa vyovyote vile Mungu ni mmoja tuu dini na madhehebu ndivyo vilivyotufarakanisha na kuona asie amini sawa nawe ni mwenye kupotoka Hali anaamini uwepo wa Mungu aliefanya yote yaliopoOh basi kila mtu atachukua sehemu anayoiamini.
Mimi huwa naamini katika maombi yote,iwe Ni sheikh au Mchungaji anaomba kwa Mungu kwa njia yoyote basi naamini.
Asante mdogo wanguNapenda kuwatakia Kheri ya mwaka mpya,
Depal, rafiki na ndugu angu wa faida, [emoji3590][emoji3590]
Chakorii , kipendhiiiii na ni zaidi ya kila kitu kwangu. [emoji3590][emoji3590]
Saint Anne , mtakatifu, na mshauri wangu, ni zaidi ya mlezi.
mtu chake , daddie ake mimi, naomba unisamehe km nimekukosea, unavonichunia naumia moyo kid ako.
@Zoë , huyu ni mommy angu, ila amepotea San sijui yuko wapi nime mmiss moah.
Culture Me, babeeh ake mie, vile unajua nakupendaga.
moj6 , Ex nimekumiss moaah, nisamehe bado nakupenda.
yna2 , ni cc angu wa damu, unajua mdogo ako najivunia kua na dada km wee
Karma , ni 1 kat ya watu ninao wa admire San humu, love u.
Heaven Sent , wewe ni kiongozi wa mafunzo ya maisha kwangu, nakupenda sana.
amu , shangazi angu wa ukweli, nimeku miss San.
Lizzy, ni rafiki angu wa faida.
Na wengine wote, nawatakia kheri, baraka, fanaka tele.
Love urs moaah.
View attachment 1664296
Weka picha yako boss..
[emoji120][emoji120]Uko sawa na ndivyo inavyotakikana maana kwa vyovyote vile Mungu ni mmoja tuu dini na madhehebu ndivyo vilivyotufarakanisha na kuona asie amini sawa nawe ni mwenye kupotoka Hali anaamini uwepo wa Mungu aliefanya yote yaliopo
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Anza weweWeka picha yako boss..
Natamani nikuone.
Mimi zangu zipo nyingi sana humu tangu huu uzi ulipoanzishwa Mwaka juzi.Anza wewe
Nipe post namba nikaone Kwanza, ujue Tomas wa Yesu nae alikua bin Adam Kama mimiMimi zangu zipo nyingi sana humu tangu huu uzi ulipoanzishwa Mwaka juzi.