Selfika na JF: Snap it. Show it

I love you more sister

Comments zako sometimes huwa zinanichekesha sana humu (una kaucomedy flani)
Tuende pamoja 2021
 
Nichukue fursa hii kuwatakia heri na fanaka katika Mwaka 2021 watu wafuatao

@financial services Ahsante kwa kuwa rafiki yangu wa Mwezi December na urafiki wetu uendelee hivi hivi kipenzi

@Saint Anne Ahsante rafiki kwa Hekima na Busara zako hapa Jamvini
@Da vincci Ahsante kwa maudhui yako yasiyochosha kusoma.!
@sweet manka You are missed my dear.!

@linahbaby Mshikaji wangu aliyepoteaga na hata hajibugu DM zangu tena japo sikuwahi kutofautiana naye

NAWENGINE WOTE AMBAO WAMEIFANYA JF KUWA MAHALI SALAMA NA PAKUVUTIA KUWEPO. MUNGU AKAFUNGUE MILANGOBYA BARAKA KILA MTAKACHOKUWA MNAKIPIGANIA MUNGU AKAWABARIKI KADRI YEYE APENDAVYO AMINA
 
Mademu wote
 
Daaah!

Nianze na shukuruni kwa kunikumbuka, hiyo inaonesha kiasi kwamba na mimi ni mtu katika watu


Pili nisamehe mkuu linahbaby ni mtu ambaye haingii sana pm kwa ilo nisamehw

Tatu nakutakia oia kheri ya mwaka mpya wewe pamoja na family yako,mungu akuvushe salama na akakubaliki mwaka ujao wa 2021
 
Ubarikiwe
Mwaka 2021 ukawe wa mafanikio kwako
 

Amina sana @linahbaby ! Barikiwa pia
 
Mercy Rafiki kipenzi
 
Mi naomba niwashukuru member wa huu uzi mnaselfika humu maana through picha zenu mmefanya tupate pisi kali kadhaa wa kadha huku tukisend tunapata mahenessy na ma balimi kumbe wapi😂😂😂😁

All in all happy new year watu wa huu uzi hatuposti ila ni mwendo wa kuzipakua picha za ma balimi mpaka nasisi tufanikiwe kueka zetu humu😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…