Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,362
Yaani mnaendana sanaKuna siku aliweka pic chap kwa haraka nikajua ni mimi[emoji28][emoji28]yani..ila yeye mashallah jamani kha
AmiinPole sana mpendwa
Pumzika kwa amani rafiki yake na linah
Mdogo wako kipenzi sipendagi mshtukizoπSubiri usiku mkubwa mdogo wangu kipenzi π
ππππππsisyView attachment 1663763
Huyo hapo..dk 0
Noooh bhana dea, nipo sawa kabisaaa.Mbona mwandiko wako unaonekana unaunyonge katikati darling nini shida
Ngoja nitaanza kunywa mkorogo nikuwe waitiππhaki tena..Yaani mnaendana sana
Mmetofautiana rangi tu nadhani.
GoodNoooh bhana dea, nipo sawa kabisaaa.
Hiyo rangi nzuri sana[emoji7]Ngoja nitaanza kunywa mkorogo nikuwe waiti[emoji16][emoji16]haki tena..
Thubutuuuuu naipenda rangi ya ngozi yangu mfano hakuna.mkorogo nisamehe bure moyoni kwangu huwezi kuingia hata kwa bahati mbaya[emoji28][emoji28][emoji28]
Sana mtakatifu wangu..najivunia kuwa cheusi mangara π§ββοΈπ§ββοΈHiyo rangi nzuri sana[emoji7]
Halafu tumebaki wachache.
πππππMdogo wako kipenzi sipendagi mshtukizoπ
ππππππsisy
Bado kiuno nyigu sisy yangu jasiriπ§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈ
Hivi daddy Eli79 tunaonana lini eti[emoji482]View attachment 1663556
Kwakweli sisyπππππ
Kuna ujasiri Basi...!!! Kujitoa tu ufahamu Mara moja Moja
Kwa vile ni wewe hakuna shidaNaomba tuonane.unaonaje
Imeisha hiyoooo...π§ββοΈπ§ββοΈπ§ββοΈJiandae kunywa balimiKwa vile ni wewe hakuna shida
πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imeisha hiyoooo...[emoji3344][emoji3344][emoji3344]Jiandae kunywa balimi
Kama ni mpenzi wa mdudu mama leo utaoga balimi π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila akili zako
Umeshafanya mate yanijae mdomoni. Sasa ole wako yanipalie kabla sijanywa hizo balimi.