Selfika na JF: Snap it. Show it

🥂🥂🥂guys🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Inawezekana pia nikawa nimemjibu na yule mpumbavu aliyenifuata private kuniuliza upumbavu kumhusu mtu chake

[emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Sasa watu kama hao ndiyo wenye matatizo! Imagine mimi tu mwenyewe ambaye nimeleta huo utani sijakufuata wewe wala mtu chake kuwauliza kuhusu hiyo ishu sababu mimi mwenyewe najua ni utani!

Sasa mtu anatoka huko alikotoka na kichwa chake cha panzi anabeba kila kitu humu JF kama kilivyo anakuja kukuuliza enhe kulikoni! Haki JF kuna watu wanachekesha jamani khaa basi nisamehe mwaya kwa huo utani!
 

🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂🥂
🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Utani tu bwana! Hata akiwa bebez wako kwani ipo shida basi, take it easy!
Yes hata akiwa babe wake wala hakuna shida! Tena mie nilichofanya hapo ni kama nilikuwa nampongeza mtu chake kuwa kapata hiyo bahati huku nikimsifia chakorii kuwa hana tabia ya kubebisha wanaume hovyo ile kiutaniutani kama wengine humu JF kwamba yeye katulia na babe wake mmoja tu!

Au daddy ni kama mimi nimsifie mama yangu espy kuwa hana tabia ya kubebishana na wanaume hovyo humu JF huwa naona anakubebisha wewe tu hivyo wewe ni mwenye bahati sababu umepata babe wa peke yako humu! Je hapo ndiyo nitakuwa nimemaanisha wewe na espy mnadate nje ya JF!
 
Karma mama kuwa na amani ishaisha Hiyo.

🥂🥂🥂guys
 
Duuh basi wengine hatujawahi hata kuhisi kama kuna chochote kinaendelea huwa tunachukulia utani tu! Kumbe huo utani wangu leo hii ndiyo umeenda kuvalidate mawazo ya mtu fulani ambaye alikuwa na ujinga wake kichwani duuh!
 
Mpendwa umeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…