Kwan shangazi yako hataki wajukuu ? jmn [emoji2][emoji2][emoji2] mwambie nalala kwa aliye mzalia mimi siye wake tena ni wawatu muda wa kuchukuliwa unakaribia atabaki kunikisia tu kwa simu[emoji23][emoji23]Shangazi anasema urudi nyumbani... Nimeogopa kumwambia upo wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu amekupa wa kufanana nawe, mtunze akutunze na Mungu wa mbinguni awabarikiNakutajia sifa zake halafu wewe mjenge kwa udongo
-Ana shape kama ya kajala
-Kasura kazuri kama Beyonce
-Mrefu wa wastani kama mobeto
-Hatumii make up
-Nywele za asili sio za kushonea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio mimi jmn[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Hii avatar yako mlikuwa mnavunja amri ya sita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vijana wa dot.com ni wajuaji sana mkuuBasi tuwape mafundisho vijana hapa ili wapate kuingia mbinguni
Sasa unatakiwa umuage shangazi kiprotocal yani itifaki izingatiwe kijana alete mahari na barua ya uchumba, sio kumkimbia shangazi yangu kama kuku aliekutana na jogoo njiani akatoroshwa[emoji4]Kwan shangazi yako hataki wajukuu ? jmn [emoji2][emoji2][emoji2] mwambie nalala kwa aliye mzalia mimi siye wake tena ni wawatu muda wa kuchukuliwa unakaribia atabaki kunikisia tu kwa simu[emoji23][emoji23]
Apatae mke amepata kitu chema [emoji1787][emoji1787]Mungu amekupa wa kufanana nawe, mtunze akutunze na Mungu wa mbinguni awabariki
Bwana asemaApatae mke amepata kitu chema [emoji1787][emoji1787]
Hahahaha binamu kama nakuona siku ya mahali utakavo muangalia jicho jamaa uku ukiugulia moyoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa unatakiwa umuage shangazi kiprotocal yani itifaki izingatiwe kijana alete mahari na barua ya uchumba, sio kumkimbia shangazi yangu kama kuku aliekutana na jogoo njiani akatoroshwa[emoji4]
Mkuu tufungue kanisa[emoji848]Bwana asema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu tufungue kanisa[emoji848]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unanipamba hivyo binamu, kuna jambo sio bure[emoji1787][emoji1787]Hahahaha binamu kama nakuona siku ya mahali utakavo muangalia jicho jamaa uku ukiugulia moyoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mahari itakuja tu binamu kuwa mpole mwaka 2021 una baraka nyingi sana sio mahari ata kuitwa mjomba pia[emoji7]
Mmmh alafu ilo kanisa waumini wake wawe watu wa selfika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu tufungue kanisa[emoji848]
Tena kubwa tu binamu [emoji5][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unanipamba hivyo binamu, kuna jambo sio bure[emoji1787][emoji1787]
Ndiyo kabisa yani nyie wote mje mpate neno la uzima, kanisa tutalifungua na kijana mshipa mhmhmh ila huyu mchungaji mshipa noma sana unaona jina lake sijui kama tutapata kondoo wengiMmmh alafu ilo kanisa waumini wake wawe watu wa selfika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie si mtakuja na vimini alafu ibada itakuwa haieleweki na hapo ndio mstari wa "Amtazamae mwanamke na kumtamani amezini naye moyoni" unaapplyMmmh alafu ilo kanisa waumini wake wawe watu wa selfika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo kabisa yani nyie wote mje mpate neno la uzima, kanisa tutalifungua na kijana mshipa mhmhmh ila huyu mchungaji mshipa noma sana unaona jina lake sijui kama tutapata kondoo wengi
Tutavaa madela ya yanga mkuuNyie si mtakuja na vimini alafu ibada itakuwa haieleweki na hapo ndio mstari wa "Amtazamae mwanamke na kumtamani amezini naye moyoni" unaapply
AiseeTutavaa madela ya yanga mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kondoo watapatikana kwa uweza wa Roho MtakatifuNdiyo kabisa yani nyie wote mje mpate neno la uzima, kanisa tutalifungua na kijana mshipa mhmhmh ila huyu mchungaji mshipa noma sana unaona jina lake sijui kama tutapata kondoo wengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutavaa madela ya yanga mkuu