Dea kupelekwa tu ukweni baraka tosha, wapo wengine wanaburuzwa tyuuuh hat wakwe hawajawah kuwasikia hat saut,Acha kelele ushafika kwanza Au tuendelee na maombi
Kwahiyo ndo umeamua kunisema kimafumbo sio..nakatisha maombi.Dea kupelekwa tu ukweni baraka tosha, wspo wengine wanaburuzwa tyuuuh hat wakwe hawajawah kuwasikia hat saut,
Ila mie mpana mweeh, hebu kuwa buzzy na maomb kwangu.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mumeo huyo.. [emoji3][emoji3][emoji3]Wacha bwana!!
Aibu nimeona mimi.
Niweke picha zenye maudhui ganiNipo
Vipi mzima wewe??
Tunaomba uweke picha sasa.
Okay
Acha tu.
Tatizo wewe hapoDuh,nini tatizo tena mtoto mzuri
[emoji23][emoji23][emoji23]Gego linakuuma nini[emoji38][emoji38][emoji38]hueleweki msukuma wangu..m’babe kakupiga chini[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba laana za mababu tutafanya tambiko[emoji851][emoji851]Hahahahahaha unataka laana za mababu zetu zitutafune bado hatujawa wahindi , achana na huyu T 1990 ELY kijana muhuni sana huyo na ni mbahili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naanzaje sasa jomoneeeh wee huyo akati vikao tayar, bado send off na harus. [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]Kwahiyo ndo umeamua kunisema kimafumbo sio..nakatisha maombi.
Paja [emoji177][emoji177][emoji177]View attachment 1657891
Kesho nitaweka kucha [emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mhmh utaniua na kicheko wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya tukafanye tambiko kabla ya ndoa [emoji4][emoji4][emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba laana za mababu tutafanya tambiko[emoji851][emoji851]
Oooh kumbe ,nimefanya nini mrembo ? Plz niambie ili nisikuudhi tenaTatizo wewe hapo