Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole ila mamiii mnapata wapi ujasiri wa kuwa na marafiki jf kiasi mnafikia kupeana namba za simu hasa wa kike
We acha tu my dear! Si unajua ule msemo wetu kuwa wa JF ndiyo hao hao tunaoishi nao mitaani kitu ambacho ni kweli!

Anyway kufahamiana na watu siyo shida shida ni kufahamiana na watu wasio sahihi maana wadada ninaofahamiana nao nje ya JF hata watano hawafiki! Ila kati ya hao wachache ninaofahamiana nao ndiyo huyo mmoja hakuwa mtu sahihi alikuwa mamluki kwahiyo cha msingi ni kuwa makini tu!
 
Hili ni chaka, muwe makini sana!
Sawa Shem..
Yaani nadhani ni ile kuaminiana tu hapa.. unaona mtu hawezi kufanya utoto wa namna hiyo( nimeandika kwa hisia sana hapa.. sijui na mimi zangu anazo au lah
)

Sasa mbaya zaidi unaambiwa anachukua picha huko kwa mitandao mingine ya kujamii kwa watu wenye picha zao humu..

Unaona saga lilivyo refu Shem??? Mambo kwa ground hayapo salama kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah, unaweka picha status then anaichukua kuwaonyesha "wanaume", upumbavu wa hali ya juu. Huwa nasema, kuwa makini unapotoa namba yako kwa mtu coz tabia zetu zinatofautiana sana na wanasema duniani Mungu na Teknolojia ndio vitu vya kuogopwa sana.

Sasa, mnapotoa namba zenu muwe makini, siku hizi namba yako ni sawa na wallet unayoweka pesa, vitambulisho vyako, kadi za benki nk, so ni muhimu kabla hujafanya hivyo ujiridhishe. Mfano, leo hii nikiona picha zangu kupitia jf nitajua tu nani amezitoa, so I'm not afraid...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…