aiseee
Humu ndani unaweza shangaa tu watu wanafile lako la story tena za uongo,wanajazana tu huko.
Mtu Kama anataka kujua kitu toka kwako ni Bora akakufuata mwenyewe akakuuliza.
Na watu walivyo wajinga Sasa,hawakufuati muhusika kukuuliza,Wanaenda kuuliza sehemu nyingine na kujazana stories za uongo na wanakuja kuconclude humu Kama wanayajua maisha yako yote.