Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole Kijana wangu..
Mwenyewe pia notifications ni tatizo.. kuna wakati napata kama hivi.. wakati mwingine sipati..
Uko poa? Miss you..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ma mkubwa umemtambulisha mwanao kwenye huu ukoo kweli? Mbona anajitenga?

Mwee ila na mama naye angekuwa anaongea na mimi kama hivi! Wallahi ningejidai!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…