Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah, kwa mara ya kwanza wapare wamesifiwa ila hizi sifa
, bora tungebaki hivyo hivyo!!

Mkuu enjoy na mpare wako, au umechanganya mzee, atakuwa muarusha huyu
Wee ni mpareeeeh haswaaaah, kutoka same mlimani, iv unanchukuliaje kwan? Au sina sina sifa ya kuwa na mpareeeeh?
Maisha haya mafupi, ukiyachukulia serious afu kwa jambo lisilokuhusu utachelewa kufanya yako.
Hebu relaaaaaaax kwan, sorry but.
 
Astaghfirullah.
.......khaaaa kubaabekk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…