Hapo chacha, hela ya kibani (kishika uchumba) unakula wewe hapo dada mlezi, hebu panga kabisaa matumiz ya pesa hizo, maan huyu shem ako hana masikhara ktk kumchukua mkewe (cocastic).
Haswaaah ndio nguvu ya mapenzi ya dhati na bora, na baraka zako zimepokelewa kwa mikono miwili,
Utakua msindikizaji wa make kumpeleka kwa mumewe, jiandae kwa safari. Uwiiiiiiiiiiiii