"Figisu ndiyo kitu me sinaga, Nje mpaka ndani namkonga na swagger.
Wananiuliza kitu gani nampaga, REAL LOVE ndo nampaga mieeh". Γ2
"OOOH LORD simuachi muachi muachi, Wanga hawana nafasi fasi fasi.
Wameanza kukachi kachi kachi, Nipo naye fasi ya DUASI DUASI DUASI". Γ2
"Maisha zawadi furaha, Maisha zawadi kwa JAAAAH.
Kikubwa kumudu karaha, Visa visasi baraha". Γ2
"Together we be
CHAMPION CHAMPION CHAMPION CHAMPION CHAMPION CHAMP" Γ2
Cos together we be
CHAMPION CHAMPION CHAMPION CHAMPION CHAMPION CHAMP
Cos together we be
Eh Eh Eh Eh Eh Eh Eh Eh
Baby U and Me, Eh Eh Eh Eh
"Kama nisingekua macho, Nisingeweza Linda kile nilichonacho.
Drama drama nishatemana nazo, Baby hatuna tena nazo" Γ 2
β¦...........................
View attachment 1650984