sawima bageshi. Usimsikilize Makiseo. Kama upo mitaa hii sema tukutane hata siku ya mnada tule nyama za kuchoma. Makiseo naona naye siku hizi ameanza viukorofi korofi sijui kwa nini. Home miye ni huko Nyaumata. Ukifika hapo Maswina walipojenga hospitali ya mkoa unakata Magharibi kidogo tayari unafika nyumbani...
Zaman ndo nlkua mcharuko ila saiv, kwa mpare huyu ananipa kityuuh roho inapenda, mmmmh nimekua mpolee, msikivu, c unajua me mke wa mtu saiv.
Afu mniheshimu humu ndan, me ni mke halali wa mpare huyoo.