Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unazingua, nimejikuta nacheka, maana umenisuta hata wakina Chakorii hawakufiki, [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Zaman ndo nlkua mcharuko ila saiv, kwa mpare huyu ananipa kityuuh roho inapenda, mmmmh nimekua mpolee, msikivu, c unajua me mke wa mtu saiv.
Afu mniheshimu humu ndan, me ni mke halali wa mpare huyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanakuwaga na michambo hao usiwaguse[emoji38][emoji38].

Hujambo lakini
Wee mchokozi iv lol, afu me ktk maish Yang sjawah kuwa mcharuko, tena me mpoleee, mkmya, huwez amin yaaa.
Hat wanao nijua watakuambia, c unajua Elimu na Exposure,
Afu nimekulia kweny familia inayojiweza, inayomjua JAH,.
Sina uswahili kabisaaaaah.
 
Tena mazima haswaaaaaah, kwake sifurukuti na sitoki.
Af uzuri wake kanielewa ile mbayaaaaah,
Ila mie nae lol, mapenzi ya ukubwan haya shida tyuuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu nikuulize swali kipenzi changu.

Kwahiyo na wewe utakuja kubeba mimba kama mimi??maana unanivuruga ujue.

Au familia yako haitokuwa BMW
 
Wee mchokozi iv lol, afu me ktk maish Yang sjawah kuwa mcharuko, tena me mpoleee, mkmya, huwez amin yaaa.
Hat wanao nijua watakuambia, c unajua Elimu na Exposure,
Afu nimekulia kweny familia inayojiweza, inayomjua JAH,.
Sina uswahili kabisaaaaah.
Ila unaonekana unamajigambo babe ake...

Tuachane na hayo.

Mwandiko wako unaonyeshaga wewe hupendigi maneno wala ugomvi.

I’v Seen that for a very long taimu babe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…