I am sorry Mama,
Unalia siwezi hata kukufuta machozi,
Nachoweza ni kukwambia usilie tu,
Huwa ninalia pia but I cant cry in front of you.
Sijui hii jela mwanao nitatoka lini, ili nifanye zaidi ya kukwambia nyamaza na kukusaidia kulia.
I love you so much Mama.