Aaahhh kumbe ndo wewe sikuwa nimekariri jina mkuu[emoji1] [emoji1] Mi tayari mkuu, japo kwa leo sijatupia. Ila soon picha ina kuja. Kuna lady ali appreciate vien zangu jana ko ni mwanzo mzuri
Naomba niweke picha ya Zurri kwa niaba yake[emoji23][emoji23][emoji23]Hata mkono tu mi unanitosha uzi wa kutupia huu
Uwe mweupe sasa..msije mharibu mtoto
Kwa hiyo size za Kati ndio nzuri!?
Soda zote Zina gesi.Ni soda ipi hiyo inayoshibisha nami nikaijaribu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].Karibu kisomali chetu kisura cha kitoto ila mwandiko wa mwajuma ndala ndefu
Iko wapi!?Mimi nilshatuma na sijaitoa
Utaumiza watoto wa kike wenzio humu,shauri yako.Naomba niweke picha ya Zurri kwa niaba yake[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona kuna hela zimemwaga humu ndani.Wala usisome comments we scroll uangalie picha mpk mwishoni ndo uanze soma comments utakazozikuta mwishoni
Asiyeelewa hapo tena basiHaswaaa,yaani ukati na kati ndio mzuri.
Mweupe wa kati na kati,mfupi si mrefu yaani wa kati na kati.
Kumbe ulikuwa unanisifia kinafiki eeeh[emoji25]Haswaaa,yaani ukati na kati ndio mzuri.
Mweupe wa kati na kati,mfupi si mrefu yaani wa kati na kati.
Dooooohhh, sijui nakwama wapi mie.Wooooi[emoji134]
Mambo mazuri yamekupita
Niweke nisiweke?Utaumiza watoto wa kike wenzio humu,shauri yako.
Hapana..lile lilikuwa mwisho saa 9Nimeona kuna hela zimemwaga humu ndani.
Hamna shindano lingine lililotangazwa?
Mbabe wa kupiga watu au mbabe wa kutafuta hela na kukuletea nyingine zilizo baki zinachukiza mrembo.
Hela haswaaa.Nimeona kuna hela zimemwaga humu ndani.
Hamna shindano lingine lililotangazwa?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Mimi ni Dada mwajuma wa mbagala.
Nimepitwa kwa hiyo[emoji24][emoji24][emoji24]Hapana..lile lilikuwa mwisho saa 9
Labda tusubiri baadae kama litakuwepo lingine
Kumbe ulikuwa unanisifia kinafiki eeeh[emoji25]