Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Hapa hapa sooooon na mimi nasubiria kuona/kukuona
Maana sijawahi kuthubutu kukutwa na picha/sura yako mkuu Heaven Sent
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka had baas lol, sio kwa uzalendo huo mweeeeeehTazama ramani utaona nchi nzuri,
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania,
Majira yetu haya
Yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi Nyerere ameukomesha
Utumwa wa nchi Karume ameukomesha[emoji120][emoji4][emoji7][emoji847][emoji444][emoji445][emoji441][emoji449][emoji450][emoji446]View attachment 1645766
Itakuwa huwa napitwa na mimi ila leo sitaki kupitwa ila hata kama nikipitwa naomba usifute mkuuHuwa unapitwa na wewe
Itakuwa huwa napitwa na mimi ila leo sitaki kupitwa ila hata kama nikipitwa naomba usifute mkuu
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Bugana.
Mwanao ajambo kabisa, umemkimbia, yani malezi ya mtoto wetu yamekushindwa unakuja kuuliza huku[emoji35]Shimboni mwanangu hajambo
Muda wowote kuanzia sasa eti eeeeee?Leo hutopitwa
She Or He?Ni pouzzy tyuuuh jomoneeeeeeh. Najuaga kujipenda tyuuuuh,
NO STRESS. View attachment 1646111
What??????
Status she
Me thijui eti,
Hahahaha....kipi umeona kwake mpaka uandike hivyo?[emoji1]Status she
body he[emoji125]
Kwema kabisaaaah lol
Alichokiandika Mkuu mara nyingi ni cha jinsia ya KeHahahaha....kipi umeona kwake mpaka uandike hivyo?[emoji1]
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Vizuri sana kama ni kwema kabisa mkuuKwema kabisaaaah lol
Poaah