Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Sasa si naweza nikapost kidole cha mtu?
[emoji23][emoji23]hipusi itoke wapi mwee na wembamba huu.
Nasubiri picha yako,ukiweka tu hata kidole basi naahidi kurudisha zile picha na sitazifuta.