Selfika na JF: Snap it. Show it

Tazama ramani utaona nchi nzuri,
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania,

Majira yetu haya
Yangekuwaje sasa
Utumwa wa nchi Nyerere ameukomesha
Utumwa wa nchi Karume ameukomesha
 
Vizuri sana kama ni kwema kabisa mpendwa

Sawa wacha nipambane maana naamini kuwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai

Karibu

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
😅😅😅😅😅 endelea kujipa matumaini utayashinda majaribu 🤓🤓🤓🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Unawachanganya watia nia sasa, unakosa mchumba hivi hivi
Ndo mana ndoa nyingi siku hizi zinavunjika kwakwuwa watu wanafunga ndoa na maumbo😩😩

Kama kuna unaemjua huko anataka kutangaza uchumba kipande hii kwa kingetokea cha umbo,,mwambie hapana nashukuru

Jirani yangu usiwe na papara baba wali ni lazima ule afe beki afe kipa.
 
Hakika
Ina maana hapo siku shepu ikibadilika hatakupenda tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…