๐ ๐ ๐ ๐ ๐๐๐kwako Chief aiseh pole na hongera pia..Same here, mi nilishindwa kulenga ufunguo kwenye kitasa nikalala zangu kibalazani na ufunguo mkononi.. Niliamka nahisi kichwa kina mawe kwa ndani๐๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1644154
Eti
unasemaje??naungana na hao watu bilioni moja kukushangaa.
Babeki bia zote hizo unazokunywa ni shoka.
shikamoo mdogo wangu[emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kristo mfufuko...wewe si wa inchi hii hakyamama tena
[emoji4][emoji4]Balimi imenitoa udenda
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]Kudadek! Balimi? Aisee mwanamke anaekunywa hii bia ana uwezo wa kumbebesha mimba mwanamme[emoji3]
[emoji134][emoji134][emoji41][emoji41] [emoji4][emoji4]View attachment 1644147View attachment 1644148
Hahaha....eti tichaPunguza kula ugali ticha..utajakabwa.halafu unaniuzi unakula vitu konki sanaaa[emoji2957][emoji2957]
Hapana siyo kitimoto financial servicesHiyo nguna mtoto haruki mkuu, utaimaliza?? Afu na kitimoto [emoji39][emoji39]
Hukukuta mabadiriko yoyote yale ya kimwili?[emoji1]Uwiiiii shenzy we binti [emoji2957][emoji2957][emoji2957]wallahi umenizidi.[emoji1787]
Mwaka 2017 marafiki zangu walinilazimisha bhana ninywe hiyo pombe [emoji2957][emoji2957]mbili tu sikujua nilifikajenyumbani ila nilijikuta nimelala ndani na mlango nimeufunga safi kabisa.[emoji119][emoji119]sijawahi rudia tena [emoji16][emoji16]
Ni nzuri sana T 1990 ELY ..Hahaha....eti ticha
Chakorii bhana
Habari za asubuhi mkuu
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Kama yapi we msukuma..ushaanza matatizo yako muone ๐๐๐Hukukuta mabadiriko yoyote yale ya kimwili?[emoji1]
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
๐๐Nafurahi kusikia unaendelea vizuri
Ulikuwa hujitambui(muda wa shetani kufanya kazi yake na kusingiziwa/kutupiwa lawama)[emoji1]Kama yapi we msukuma..ushaanza matatizo yako muone [emoji38][emoji38][emoji38]
Akhsante kwa kufurahia mimi kuendelea vizuri mpendwa[emoji4][emoji4]Nafurahi kusikia unaendelea vizuri
Akhsante kwa kufurahia mimi kuendelea vizuri mpendwa[emoji4][emoji4]Nafurahi kusikia unaendelea vizuri
Okay ahsante na huo Mchembo ni nini? Duh vyakula vina majina mengi akii๐Hapana siyo kitimoto financial services
Ni nyamba ya mbuzi wa kienyeji
Niliimaliza na kuongezewa nchembo
Karibu sana mkuu
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Chizi kabisa wewe eti nini๐ ๐ ๐ ๐ ๐Ulikuwa hujitambui(muda wa shetani kufanya kazi yake na kusingiziwa/kutupiwa lawama)[emoji1]
Au walikuwa marafiki zako wa kike?
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we hatari sana![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseee mimi bia zangu pendwa ni Safari na Balimi yaani hauniambii kitu! Ila cha ajabu watu wananishangaa wananiambia eti nakunywa vitu vizito wakati mie naziona tamu na za kawaida tu!