financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
Jamani hapo unaniua kabisa, bichwa linazidi kuwa kubwa kwa kusifiwa huku, thank you na huu ukorofi kumbe unaniona mstaarabuπ aisee ubarikiwe. πππππππππ.! Imekaa vyema sana mkuu alfu una mwili fulani ambao hapa Mjini watu wanauhangaikia kwa madude kibao Mara Forever living Products na mengine .!
Itoshe kusema you have just caught my attention my dearest π₯°π₯° na ukijumlisha ustarabu wako huku jamvini..!
Amina dearest..!Jamani hapo unaniua kabisa, bichwa linazidi kuwa kubwa kwa kusifiwa huku, thank you na huu ukorofi kumbe unaniona mstaarabuπ aisee ubarikiwe. πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na ulivo lastborn watu wangekuonea sana[emoji3]
Wewe rafiki yake mama Debora[emoji1787]Jamani hapo unaniua kabisa, bichwa linazidi kuwa kubwa kwa kusifiwa huku, thank you na huu ukorofi kumbe unaniona mstaarabu[emoji14] aisee ubarikiwe. [emoji7][emoji7][emoji7]
Li mama Debora lile acha tu, anachamba huyoππ popote ulipo nimekumiss hivo hivo tu.
Huwa mnanichekesha Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Li mama Debora lile acha tu, anachamba huyo[emoji3][emoji3] popote ulipo nimekumiss hivo hivo tu.
Kumbe huwa unafurahia nnavochambwa eeh, lastborn una tabia mbaya weweπ
Eheeeπ€ͺUmefurahia ehh [emoji38][emoji38]
Mnavyochambana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe huwa unafurahia nnavochambwa eeh, lastborn una tabia mbaya wewe[emoji3]
Marahaba mwanafunzi wangu mzuriSijambo shikamoo mwalimu
[emoji39][emoji39][emoji39]Eheee[emoji2957]
Utakabwa na ugali siku moja We msukuma
Hiyo nguna mtoto haruki mkuu, utaimaliza?? Afu na kitimoto ππ
Weee usiniambie..tumia ulimi vizuri le madamHuyo muone hvo hvo aingiliki nakwambia
Unaonekana ni mtamu
Konda atakuwa ametisha kinyama..anajua kupenda na na upepo π€ͺπ€ͺsafiHahahaha, kiti katisha ,halafu unakuta konda nae ana hamu ya kukaa maana anasimama sana
Hata mimi nimeizoea rafiki yangu kipenziDah, mie nishazoea togwa Rafiki kipenzi changu
Jirani yangu kipenzi hata ukiniweka miaka mianane ni sawa tu waaaahhhJirani kipenzi unanizungua, jirani kipenzi nitakuweka ndani miaka mia8