Sasa na uzuri wenyewe hata JF hayupo..We huwezi kujifanyia tathmini? Akija akaongea tofauti si itakuvunja moyo!
Nimepata jibu...ningefurahi snaa maana ningejituma zaidi ya mwanzo
Vizuri lifanyie kazi sasa sawa eeNimepata jibu...
Kumbe hadi wewe lastborn ni mrefu, uko vizuri
Thank you for the compliment rafiki,i appreciate😘, for real nimetamani kukuona pia, Mungu atujalie uzima tu ipo siku.Wow .. vipaja vizuri sana Mkuu [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Mkuu tafadhari unaonaje tukipata dinner pamoja siku moja..! We ni moja ya watu ninaotamani kukutana nao hara nikiwaona tu nitakuwa happy sana. Alfu unavyotupia daah [emoji7][emoji7]
View attachment 1643916
Vizuri komaa deae uje utoke na "first class with honor"😘😘 ukikosa basi hata Upper Second class with honor pia si mbaya, ila hizi gentleman GPA zetu hizi🤔🤔Yaaaah tunapamban na assignments tyuuuh now. Miss u moaah
Aisee! Ni kwere kipande hii huku kuna noma kinyama shotii.Mambo shega supatall...inakuwaje
umeanza[emoji28][emoji28]
Hahahaha, we endelea tu Mkuu,mie nishazeeka[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umeanza kususia chakula hata hakijaja mezani [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], usinifanyie hivyo ntu wangu, mimi usiniachie mimi ni paroko
Kuna haja ya kua kondakta wa daladalaView attachment 1643846
Daladalani
Nini hili wa kishuaView attachment 1643866
Karibuni [emoji177][emoji177]
HahahahaHahaha mtu chake muone hvo hvo na ukimya wake anaovo onekana hnaga haraka na mambo lakin ana jambo lake hyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, duh[emoji28][emoji28][emoji28]kwahiyo ndo umeamua kumchumia dhambi mtu chake wangu eee[emoji28][emoji28]
Simba mwenda pole......
....Natamani yule bwana apite humu anijibie kama nampaga wa kutosha[emoji28][emoji28][emoji28] J wea a yu babe..
Hahahaha, tushazeekaUnakubalije kushindwa kirahisi hivyo kipenzi changu rafiki
Kabisa yani.tena wewe ningejidai napandisha maruwani nikidai kiti anamtaka mtu chake ili tukae wote😅😅Kuna haja ya kua kondakta wa daladala
Hiyo inaitwa coka kola bariiiidiii mno kipenzi changu rafikiNini hili wa kishua
Simba anaunguruma nchini JF 😅😅😅Hahahaha, duh