Ha ha ha yapo kwenye begi pembeni,yapo kwenye ulinzi wa hali ya juu[emoji16]Bro, hatimaye naona umejiripua tu liwalo na liwe. Safi sana bro japo sijaona mabonge ya [Au] hapo pembeni [emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbuka wewe ni kila kitu binamu wangu mtamu mzuri[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
Haha[emoji7][emoji7][emoji7]miss tooI miss you binamu wangu mtamu
Binamu taratibu[emoji23][emoji23][emoji23] punguza ukali wa maneno utanikosesha mchumba ujueKumbuka wewe ni kila kitu binamu wangu mtamu mzuri
Hivi kumbe tunauwezo wa kumfukuza mtu ee...safi.[emoji23][emoji23][emoji23]Mlinifukuzisha Tansy wangu mkuajua imeishia hapo kuitwa baby [emoji23][emoji23][emoji23] bado wapo wengine uniita kimoyo moyo
Umeanza lini ushambenga jirani ee si nakuuliza 😅Mwambie huyo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe sasa he he heheeee[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Umeanza kususia chakula hata hakijaja mezani [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], usinifanyie hivyo ntu wangu, mimi usiniachie mimi ni paroko
Hapo ulipo sasa hivi unafomu ya chama gani jirani yangu kipenzi 😅Unanivuruga hapa nimechanganya fomu za mwanachama [emoji38][emoji38]
😅😅😅Binamu taratibu[emoji23][emoji23][emoji23] punguza ukali wa maneno utanikosesha mchumba ujue
Sijambo shikamoo mwalimu
Brazaaaa wapi hapo?
Hahaha mtu chake muone hvo hvo na ukimya wake anaovo onekana hnaga haraka na mambo lakin ana jambo lake hyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata beach huendi???🙄🙄[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi huwa sioni haja ya kutembea maeneo Kama hayo wakati sijui kuogelea na sijawahi hata kwa bahati mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app