Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,464
- 95,976
Hahahaha Mimi humu mtazamaji, vidigi digi nakamata uswahilini hukuWee usiniambie kipenzi changu rafiki [emoji12][emoji12]
Na wewe si unavikamataga vile vidigidigi vyako mida flani hivi ya wanga[emoji41][emoji12]
Naomba picha iliyofutwaEwaaaaa...eheee ulikuwa unasemaje vileee[emoji851][emoji851]
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]Hahahaha Mimi humu mtazamaji, vidigi digi nakamata uswahilini huku
Humu siwawezi wadada wa humu, m achagua sana,wengine sifa hatuna hatuchaguliki
Umenisaliti SYB.kwanini umeifuta ile avatar!!!🥺🥺🥺🥺Naomba picha iliyofutwa
😅😅Ehee ndo hivyo hivyo uvikamatie rafiki vinakuwaga vitamu sana ujue.ukivitia ndimu,pilipili na chumvi😋😋😋😋😋Hahahaha Mimi humu mtazamaji, vidigi digi nakamata uswahilini huku
Humu siwawezi wadada wa humu, m achagua sana,wengine sifa hatuna hatuchaguliki
Naomba niingize kichanga kingine kwa njia ya M~pesaKiliingia kwa njia ya tigo pesa wakulungwa[emoji28][emoji28]
Si nitakuwa navyovingi sasa.we naeee subiri nimalizane na hiki cha tigopesa kwanza🤪🤪Naomba niingize kichanga kingine kwa njia ya M~pesa
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Vinakuwaga vitamu sana kama vile huwa unavila/ulishaga wahi kuvila eti!![emoji1][emoji28][emoji28]Ehee ndo hivyo hivyo uvikamatie rafiki vinakuwaga vitamu sana ujue.ukivitia ndimu,pilipili na chumvi[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Halafu kumbe nyie ndo mnafanya maisha yanakuwa magumu nishaona.ni wapi wanawake wa JF wanaonekana kuchagua sana????
Teh!!Si nitakuwa navyovingi sasa.we naeee subiri nimalizane na hiki cha tigopesa kwanza[emoji2957][emoji2957]
Hahahaha, Juzi nilikamata kimoja pale papy chulo, Leo nakirudia[emoji28][emoji28]Ehee ndo hivyo hivyo uvikamatie rafiki vinakuwaga vitamu sana ujue.ukivitia ndimu,pilipili na chumvi[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Halafu kumbe nyie ndo mnafanya maisha yanakuwa magumu nishaona.ni wapi wanawake wa JF wanaonekana kuchagua sana????
Halafu juzi nilipita pale nikapaona basi nikajikuta nakuwaza tu..😅😅kumbe mawazo yangu yalikuwa sahihi..Hahahaha, Juzi nilikamata kimoja pale papy chulo, Leo nakirudia
Wadada wa JF michango yenu humu inaonesha hivyo. Mnatufanya wengine tuwe watazamaji na wasomaji
Ni nzuri tu ELY za kwako baba
Hahahaha tunafuata vihindi viteke huko, maana humu mnatuchagua sana Mara avatar ,Mara ID, Mara nini sijui ,aahHalafu juzi nilipita pale nikapaona basi nikajikuta nakuwaza tu..[emoji28][emoji28]kumbe mawazo yangu yalikuwa sahihi..
Usiniambie kalikuwa kateke na Cheney vurugu matata kiwapo uwanja wa 6*6 kipenzi changu rafiki.
Safi..mwambie nampa [emoji1666]kwa kutuwakilisha vyemakimataifa[emoji28][emoji28]
Hapana mtu chake ni nyie tu ndo mnapenda kukuza mambo na kuogopa ile ni michango ya watu tu ni kama wewe unavyochangia Ina maana tukuogope!!hapana aiseh
😅😅😅😅Hahahaha tunafuata vihindi viteke huko, maana humu mnatuchagua sana Mara avatar ,Mara ID, Mara nini sijui ,aah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, aargh sorry Rafiki[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Huu ni wivu sasa rafiki yangu loh!!
Sorry ya nini?hujakosea kitu ujue 😅😅
HahahahaSorry ya nini?hujakosea kitu ujue [emoji28][emoji28]
Ni vile navyokuona unatukataa wadada wa jeiefu sijui tufanye nini jmani [emoji3064][emoji3064]Mnatuchumia dhambi mjue..
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Akikujibu nishtue
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Ni ke
Wewe hapoHamna mnywaji sasa [emoji846][emoji846]