Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbeee nilikuwa sijui aise..basi na mimi nikikaribia kuolewa nike kufungua uzi wa Mchanga wa harusi si ndio[emoji28]
Wewe inayoluhusu ni sendoff harusi ni yabwana harusi..nikikuoa mimi tunaanzisha zote mbili, unawapiga kwenye sendoff mimi nawapiga kwenye harusii..

Hapa nina card 9 za michango aisee sijui namalizana nazo vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ