Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti wa tukuyu!!! Mimi kwakweli sizipendi maana zinakifu kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi tutakuwa washamba wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeeh maana kule Tukuyu kwetu ndani ni adimu sana, so nikahisi labda ni kaushamba kananisumbua
Yani mnachagua pombee??[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unakunywa pombe gani sisi hatunywi k vant,banana, eagle wala konyagi sisi ukija kujitambulisha beba whisk [emoji1634]
🤣🤣🤣📌Kikubwa kuyumbaa
Dah 😩😂
Ahahahaha! Let's meet this coming weekend.
Hahaha sasa mbona mi nilishaondoka Dodoma tena mkuuAhahahaha! Let's meet this coming weekend.
Watu wa Dodoma tujuane au unasemaje?
Marahabaaa nkamu gwangu! Ulipo?Shikamoo nkamu
[emoji28][emoji28] [emoji12][emoji12]Dah [emoji30][emoji23]
Marahabaaa nkamu gwangu! Ulipo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilipoo nkamu: eti hupendi wanaume weupe kama @Espy
😆Katika weupe wala weusi sipo! Nipogo nipogo tuuuu. Nimeshangaa tu kuwa hupendi macheupe[emoji28][emoji28] [emoji12][emoji12]
Na wewe ni mweupe? Halafu nani huyo anakuficha?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa mwanaume anakuwaje mweupe jamani[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji85][emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa mgeni jf unaweza kufikiri hapo imetumwa picha ya msosii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1638446
Wanasemaga sijui late kitu gani gani hukooo...Ehee hiyo hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Heheeheheheiya. Haya feel secure mama
Hebu nibariki na kaselfie son.Ukiwa mgeni jf unaweza kufikiri hapo imetumwa picha ya msosii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We si umeoa wewe..hayo macho mengine unayatolea wapi MangiUkiwa mgeni jf unaweza kufikiri hapo imetumwa picha ya msosii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Paja la Taifa!View attachment 1638446
Wanasemaga sijui late kitu gani gani hukooo...Ehee hiyo hiyo