Basi inabidi upate na mpishi mwingine mzuri sambamba na Auntie.
Glad to hear mama is still around.
Dah....why did you have to mention perege jamani
Ukiacha ndizi za kukaanga....umewahi kula za kupikwa na perege wa kukaagwa wanawekwa juu ya ndizi dakika za mwisho kabla ya kuzi-serve??? Yohhhhh
ni moto wa kuotea mbali
Used to be one of my bibi's speciality