Hahaha hapana mkuu mie siyo wa kishua ila tu napenda sana kusafiri na kutaliiWatoto wakishua lzm mfanye utalii ,sijui mnaita vacation sijui ,dah mie mnikumbuke kwa picha tu
HahahaYani na wewe kama utakuwepo naomba nisikose huo mwaliko
Nimeipenda hii[emoji3590]
Hahahaha, ndio wa kishua wenyewe huo "kusafiri na kutalii" safi sana. Tupia tupia picha nasi tutalii kwa pichaHahaha hapana mkuu mie siyo wa kishua ila tu napenda sana kusafiri na kutalii
Nikipata pesa kidogo lazima nispend na kwenye kusafiri maana kwa sasa sina majukumu mengi hivyo bora nisafiri sasa kabla sijaanza kuwa na lundo la majukumu
Ile sound inaonekana sio mchezo
Sijui kwanini sijawahi zipenda kandeHapo vipi makandeView attachment 1624851
Utakua hukuzoeshwa ukiwa mdogo ,,ni msosi mtamuSijui kwanini sijawahi zipenda kande
Hii tughimbe ya mbalizi ?Tughimbe HallView attachment 1624133
Ulikula vijiko vingapi na kumwachia huyo mwingine?
Zinapikwa Mara kibao ila sijawahi kuzipenda.Utakua hukuzoeshwa ukiwa mdogo ,,ni msosi mtamu
Ya mafiati bossHii tughimbe ya mbalizi ?
Mtoto anaendeleaje?Zinapikwa Mara kibao ila sijawahi kuzipenda.
Ni heri Nile ugali muda wote
Bado badoMtoto anaendeleaje?
Aisee mungu amsaidieBado bado
Usiku alibadilika..mchana akawa vizuri Sasa hivi tena ana tatizo jipya.
Dogo hatabiriki kabisa huyu.
AmenAisee mungu amsaidie
Hamna namna aitwe daktari apigwe dawa zingine watoto Wana complications nying sana akianza kuuguaAmen
Hapa ananiambia tena tumbo linauma..
Yaani naishiwa nguvu[emoji38]
Halafu wamepita muda mfupi tu uliopita.Hamna namna aitwe daktari apigwe dawa zingine watoto Wana complications nying sana akianza kuugua