Selfika na JF: Snap it. Show it

Safi Sana you look smart upstairs, pale walimu wengi nafikiri hawapo Tena kila Zama na kitabu chake, Ila was one of my best school in studies and fashion Yuda a anasema kabisa vaeni modal mnapendeza Sana kwanza nyinyi ni wafanya kazi wa bank sio wanafunzi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Smart wapi[emoji38]
Mi kilaza tu
Mungu hakunyimi vyote [emoji23][emoji23][emoji1787]
Yaani hadi mwandiko akunyime?A wapi!!
Mimi nilikuwa najivuta vuta baadhi ya masomo na Kuna masomo Kama hilo la fifo sijui lifo Aki ya Nani nilikuwa nanyoka nayo nahakikisha sichomoki nafasi yangu hadi naondoka pale..

Eti vaeni tu modo[emoji23][emoji23]
Akukute nayo mwabulambo na mwanjali Sasa[emoji38]
Ila watu sijui walikuwa na viwanda vya suruali[emoji848]asbh wanamkatia jioni anarudi amevaa nyingine kama ileile[emoji23][emoji23]
Ndio hicho tu niliipendea shule ile[emoji1787]
 
Pamba ziko dox tu pale, yaani ukishindwa kupendeza mbeya Basi wewe una matatizo modal za maana buku tatu tu mtu unakua nazo hata kumi na tano[emoji3][emoji3]
 
Pamba ziko dox tu pale, yaani ukishindwa kupendeza mbeya Basi wewe una matatizo modal za maana buku tatu tu mtu unakua nazo hata kumi na tano[emoji3][emoji3]
Watu walikuwa wanatungua hatari[emoji23]
Ila sasa kuvumilia fimbo zile kisa kuvaa modo wallah
Mimi sikutaka matatizo kabisa,bwanga langu safi..
Kuna rafiki yangu tulikubaliana tushone na visoro virefuuu kama magauni[emoji23][emoji23]
 
Huyo mwabulambo aliwahi nipa msukosuko nusura niumwe presha katika umri mdogo sana [emoji3]
[emoji23][emoji23]
Yule mama watu walikuwa wanamkimbia Kama nyuki..
Mimi hata akisahau kitu class nampelekea ofisini kwake tunakaa tunapiga stori..sijui alinipendea Nini..
Aliwaambia wazazi wangu wamgawie mimi niwe mwanaye[emoji38],angejua kama mimi hata si mpole kihivyo.
Kipindi nasoma sijawahi kuwa na nywele fupi ila sikuwahi kunyolewa na mkasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…