Selfika na JF: Snap it. Show it

Ulimalizia pale form four ? Ulifanikiwa kufaulu vizur pale ? [emoji3][emoji3] Maana sangu o level ilikua inasifika kwa kufeli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kinachofanya ionekane vile ni uwingi wa wanafunzi.
Wanaofaulu na wanaofeli ni wengi ko failure inatawala[emoji38]
Walikuwa wananiita Mtoto wa mwabulambo yule mama wa nidhamu alikuwa ananipenda hatari.. nilikuwa mtoto mzuri sana,break time utanikuta naimba mapambio kanisani.
Sijawahi kufaulu tena kama nilivyofaulu nikiwa pale[emoji23]
 
Ulitisha Sana mtoto wa ndimbo kufaulu pale , maana form four unakuta iko A B C D E F
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…