Selfika na JF: Snap it. Show it

Wazazi tunatamani wajukuu kwa kila mtoto, au hujui?
Sasa daddy kwani haujui kuwa kwenye kila familia lazima kuna mtoto mmoja ambaye atakuwa tofauti na wenzie! Na mara nyingi huyo mtoto lazima awe hasara!

Hivyo chukulia tu ni hasara kama hasara nyingine unazopata kwenye vitu kama biashara au nini! Huku ukijua unao wengine watatu ambao hawana matatizo yoyote!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo ni juu yako ila mie sihitaji unipende na kama nilivyosema huwa siamini mtu akisema ananipenda hivyo utajua mwenyewe
Aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umri bado haujafika Ndiyo maana..
Ngoja ukue kue kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…