Selfika na JF: Snap it. Show it

Tofautisha kupenda kupendwa na kuwa na matarajio makubwa kwa mtu unaempenda. Inshort hakuna binadamu asopenda kupendwa na ni raha sanaaa kupendwa.
Wewe unapenda kupendwa ila unaogopa kuumizwa na unaempenda ila hakupendi.

Sasa huo uoga ndiyo ulinifanya nisihitaji kupendwa tena hivyo nilishaacha kuhitaji kupendwa tangu nikiwa yanki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…