Iliyozungushiwa wino mwekundu. Ni kahawa ya kutoka Mbeya kabisa kwa wanyaki huko akina Karma na Saint Anne. Ni kahawa safi sana sawa sawa tu na ya hao Wakolombia na Wakyuba.
tuongee nini ma mkubwa
Unajua hiyo hali ndiyo inanifanya nakuwa na furaha muda mwingi
Nilifundishwa kuwa too much expectations leads to disappointments