Shimbaa matunda nakula sana throughout the day kwahiyo usinimaind sana jamani 😔😔Nimeamua kukaa kimya tu na kusubiri wikendi. Wikendi nayo ikibuma naona na uzi huu nitahama kabisa. Imagine pengine hii chai ya mchana tayari ndo lunch yenyewe na si ajabu hata breakfast hakula. Mtu unakula brunch ya hivi. Hata ukiambiwa uishi kweli utawezana?
Loving auntie 😊😊The touch of a loving mother...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Jishaue.Sihitaji kupendwa kama binadamu wengine yaani [emoji17][emoji17] [emoji19][emoji19]
Khaaa mwanamke janja janja wewe, no wonder wakwe wanaingia mitiniNauli yako nimempa Karma akuletee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karma Usinifanyie hivyo jamani [emoji24][emoji24][emoji24] Shimba is already mad at me [emoji19]
Hahaha...kumbeMapapai yana lainisha choo
Ukizidisha sana unakuwa unaharisha sio kunya tena [emoji28][emoji23][emoji38]
Yaani niko hivi mtu akinipenda ni yeye mwenyewe ila mie sihitaji kupendwaWeeeee....Labda wengine..
Mimi huniambii hivyo wewe.. kupendwa utapendwa tu.
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787] eti eehUsijiaminishe sana Dogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeamua kukaa kimya tu na kusubiri wikendi. Wikendi nayo ikibuma naona na uzi huu nitahama kabisa. Imagine pengine hii chai ya mchana tayari ndo lunch yenyewe na si ajabu hata breakfast hakula. Mtu unakula brunch ya hivi. Hata ukiambiwa uishi kweli utawezana?
Sasa mimi kosa langu nini jamani[emoji2369][emoji2369][emoji2369][emoji2297]Khaaa mwanamke janja janja wewe, no wonder wakwe wanaingia mitini
[emoji2296][emoji2296] nijishaue aje tenaJishaue.
Itapike.[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] Hivi kumbe ile hela uliyonipa ndiyo ilikuwa nauli yake? Sasa mbona haukuniachia maagizo mwenzio nimeila yote?
We na dhambi si mna umoja mkunjufu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama naomba usinichumishe dhambi tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Itapike.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We na dhambi si mna umoja mkunjufu.
Amen[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1620889