BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,866
- 20,343
Ooh halelujah!Nitayainua macho yangu nitazame milima[emoji174]
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu ni katika Bwana aliyeziumba Mbingu na nchi..
Hatasinzia wala hata lala [emoji119]View attachment 1619770
Amina mpendwaNitayainua macho yangu nitazame milima[emoji174]
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu ni katika Bwana aliyeziumba Mbingu na nchi..
Hatasinzia wala hata lala [emoji119]View attachment 1619770
Nitayainua macho yangu nitazame milima[emoji174]
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu ni katika Bwana aliyeziumba Mbingu na nchi..
Hatasinzia wala hata lala [emoji119]View attachment 1619770
Ooh halelujah!
Ukiwa hivi bongo wanakuelekeza ilipo zahanati ya karibuLizzy jamani Lizzy. Whati izi dis? Yaani kweli tangu mchana umeniahidi kuwa jioni utapiga msosi hasa wa kueleweka large portion (your cheat day) kumbe mbwembwe bado zinaendelea kha!
Ai givapu kwa kweli. Endelea tu sasa kutokula umzidi hata Flaviana Matata ushuke kidogo mpaka kwa yule mama mwimbaji wa Kanada sijui Seline Dioni sijui nani yule niliona picha zake mpaka nikaogopa.
Toto disapointimenti kwa kweli...[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1619723
Hio shingo ni tulete ngombe wangapi [emoji3][emoji3]Nitayainua macho yangu nitazame milima[emoji174]
Msaada wangu utatoka wapi?
Msaada wangu ni katika Bwana aliyeziumba Mbingu na nchi..
Hatasinzia wala hata lala [emoji119]View attachment 1619770
We jamaa umepotea sana jukwaa hiliNaomba nije kubusu shingo.
Akhsante mkuuMkuu una shingo nzuri & bora ya muda wote!
[emoji848].siyo yule mkubwa.. yule mwingine sasaWooiii yule dada yangu bora hata mimi sasa
Yule ndiyo mnene haswa
Uliniahidi kuweka picha October 29Ooh halelujah!
Akhsante SanaAmina mpendwa
Nimependa hiyo shingo yako [emoji1]
Mimi ni nani kwa mfano nisiweze kunena na moyo wako Saint Anne
[emoji6][emoji3059]
Chache tuHio shingo ni tulete ngombe wangapi [emoji3][emoji3]
Nice[emoji171]beautful people[emoji106]View attachment 1619960
Nice[emoji171]
AminaAkhsante Sana
Bado Mungu anasema na na moyo wangu.
MwemaAmina
Kwema lakini mpendwa