Selfika na JF: Snap it. Show it

Kule jukwaa la siasa huwaga unatetea chama gani vile
Sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote.
Huwa natoa mtazamo wangu bila kujali wapinzani au chama tawala watanichukuliaje.
Na hiyo michango uliyoisoma ni ya miezi hii miwili,pita Soma na michango yangu ya mwezi march na April uzi wa likes.
Pita pia kwenye michango yangu ya mwaka 2018 jukwaa la siasa.
 
I'm not talking about sex though 😐
 
I'm not talking about sex though
Hiyo yote ni sehemu ya kufanya mahusiano yachipue sex, vitu hivyo vidogovidogo sijui masaji na vingine vingiiii , hivyo vyote tunafanya lakini mnakuja kuanguka kwenye mahaba makali na vijana wanaowaosha miguu, kucha nk
 
Mmhh mi niseme ukweli sijawahi kupishana na comment yako yoyote ukiwa unasupport chama chochote cha upinzani siyo za kipindi hiki wala huko nyuma! Huwa unawaponda sana upinzani na kuwasifia CCM na huwa unalike comments za wanaoitetea CCM!

Anyway siyo mbaya ukisema kama wewe ni mwanachama wa CCM! Una haki na uhuru wa kuwa kwenye chama chochote mwaya ila ifike kipindi lazima tuseme ukweli CCM walikofikia siko na wanakoelekea ndiyo kubaya kabisa lakini cha ajabu watu wanatetea tu kila kitu!
 
Sehemu nyingine napita na kulike kwa sababu unakuta kile nilichokuwa nawaza ndicho kilichoandikwa.

Basi una bahati mbaya tu,hujawahi niona nikiinanga serikali, si rahisi kuona kila kitu nilichoandika
Hujawahi kuniona nachambana na vikundi vya kusifu na kuabudu kila kitu..siku ukibahatika kuona itakuwa vema.

Kutoa mawazo kuhusu upinzani si dhambi,na Mimi mtazamo wangu ni huo
Na si dhambi kuwa mwanachama wa CCM, chadema Wala ACT..
Mimi sina mpango wa kuwa mwanachama wa chama chochote Cha siasa.
Nitaendelea tu kutoa mawazo yangu.
 
Oohh basi ni vyema kama unatoa mawazo bila kuangalia chama! Maana kuna watu wanatetea tu kila kitu ili mradi kimefanywa na ccm duuh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…