hiyo ishu nasikiaga sana na najua ipo ila bado ni ngumu kumeza
Ila na nyie muwe mnawapa wapa wapenzi wenu mahaba heavy wasiwe wanadanganyika na vitu vidogo vidogo. Jifunzeni kufanya foot rub na massage, massage kidogo wawe wana-enjoy every now and then.