Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahaaaa [emoji846][emoji846]

Basi safi...I hope mihogo na mishkaki imehusika vya kutosha kwa niaba yetu tuliokosa [emoji39]
Ah hiyo lazima mama! Wenyewe wanakwambia ati kwenda coco na kuondoka bila kula mihogo na mishikaki yao ni sawa na kwenda zanzibar na kuondoka bila kula shawarma na urojo wao yakhee!

You know what i'm saying [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Kuonyesha kwamba I agree witchu πŸ’―πŸ’― (japo sielewani na urojo πŸ₯΄πŸ₯΄) msikilize Prezzo akikuambia For Sho....For Shizzy 🎢🎢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…