Brunch? Siku ile ulipounganisha samaki kwa kufuatana nilikuelewa sana...pyua kimkoani koani yaani. Mambo ya brunch legelege hizi achia wanaume wa Dar vinginevyo kesho gunia la mahindi likitaka kudondoka kwenye semi trela utashindwa hata kulidaka. Piga misosi ya kueleweka bro