Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Chakorii we ni advocate mzuri sana wa haki za watu kupumzika.

Mjep anaonekana ni wale wakaka wanaotakaga hata weekends ma-bae zao waamke mapema kuandaa breakfast 😫😫😫
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…nilikuwa namzoom tu anavyotaka kukufanya Upike..πŸ˜…πŸ˜…

Huyu dawa yake umuandalie brekifasti ya kiporo chamakande
 
😊😊😊

Walokunyanyasa wote tutawa-tag kwa fujo mpaka wakome. We ngoja hiyo breakfast yako iwe tayari 😏😏😏
HamtustuiπŸ˜…πŸ˜…ukijidai nae leo najua wikendi ijayo utaenda tena Zanzibar kukula bata..mnyanyaso kwa Mjep utarudi rodiniπŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…