Kumtaja haitakaa sawa bna ,, kwanini unataka Sana kumjua [emoji1]Mimi sina mpango wa kutoka nyumbani..labda nihamishwe kikazi
Anaitwa nani?[emoji2096]
Basi tu umbea unanisumbua [emoji16]Kumtaja haitakaa sawa bna ,, kwanini unataka Sana kumjua [emoji1]
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] achana nae bna siku utamjua tuBasi tu umbea unanisumbua [emoji16]
Nitajie haraka haraka then nikilike tu unafuta
Ngoja Ngoja huumiza matumbo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] achana nae bna siku utamjua tu
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Unaleta ubishi nitakusemea kwa bukuku akupe fimbo,,Ngoja Ngoja huumiza matumbo
Yan huna mpango wa kuondoka hom??? Ukiolewa je?Mimi sina mpango wa kutoka nyumbani..labda nihamishwe kikazi
Anaitwa nani?[emoji2096]
Yaani nasemea sasahivi kabla sijaolewa.
Na fimbo zake anazochapa kwenye Cha za vidole[emoji23][emoji23]Unaleta ubishi nitakusemea kwa bukuku akupe fimbo,,
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2] Yule mlinzi Mimi siku ya kwanza naingia form v nilishangaa Sana mlinzi kua na mamlaka Hadi ya kuchapa fimbo tuliochelewa Mimi si nikamgomea bna akanipeleka kwa malekela na yuda shughuli niliipata,, jina kesho pmNa fimbo zake anazochapa kwenye vidole[emoji23][emoji23]
Kuna siku assemble nilikaa kibangala chenye kelele...wacha apite akatutandika wote.
Toka siku hiyo sijaenda Tena assemble..nikawa naset muda vzr nahakikisha 1:20muda wa kutoka assemble ndo nafika school..
Sasa siku daladala Zikizingua tunaenda kupambana na anko amani getini[emoji23]
Haya,bado sijasahau..nitajie Basi
Na walimu hao wanavyochapa kwa sifa Sasa[emoji16][emoji2][emoji2][emoji2] Yule mlinzi Mimi siku ya kwanza naingia form v nilishangaa Sana mlinzi kua na mamlaka Hadi ya kuchapa fimbo tuliochelewa Mimi si nikamgomea bna akanipeleka kwa malekela na yuda shughuli niliipata,, jina kesho pm
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ile shule Mimi nitaikumbuka milele ilikua na kashkash zisizoumiza na vile o level mlikua wengi Kama kumbi kumbi Kuna dogo mmoja kiongozi wa o level Kama shombe shombe tulichelewa akataka kutupigisha magoti na Tai zetu watu wazima tulimlamba makofi akaenda kutusemea kwa mkuu nusura tufukuzwe ni busara tu za mlokoke bukuku zikatubakishaNa walimu hao wanavyochapa kwa sifa Sasa[emoji16]
Yaani anko amani[emoji23][emoji23][emoji23] unakuta anaokotesha watu takataka ili mradi tu awacheleweshe getini ili mwalimu aje...ila tangu watu wamuangushe pale getini kiherehere chake kilimuisha..anapima upepo,akiona watu wengi wamechelewa anawapisha tu mpite[emoji1787]
Unakuta tunafukuzana kwenye geti la huku ukumbini (hall) jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani zile moments nazimiss sana
Kuna tuviranja tulikuwa na sifa..na huo upuuzi ulikuwa unafanyika Hata assemble.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ile shule Mimi nitaikumbuka milele ilikua na kashkash zisizoumiza na vile o level mlikua wengi Kama kumbi kumbi Kuna dogo mmoja kiongozi wa o level Kama shombe shombe tulichelewa akataka kutupigisha magoti na Tai zetu watu wazima tulimlamba makofi akaenda kutusemea kwa mkuu nusura tufukuzwe ni busara tu za mlokoke bukuku zikatubakisha
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3] kumbe wew mkorofi aiseee na tule tugauni twenu sindelela mlikua mnatuokoa getini mkija mnakuja Kasi mlinzi haelewi amshike Nani na sisi tunapenya humo humo[emoji3], Mimi mama anafundisha mbeya day Sasa gari tukawa tunapanda pamoja nashukia pale sangu anakuta tunasubir fimbo anasema wew Kila siku ni viboko tu, hio I'd unataka ya nn kwanza unataka uanze kumzoom dogo wa watu Kama anajimwambafai humu au?Kuna tuviranja tulikuwa na sifa..na huo upuuzi ulikuwa unafanyika Hata assemble.
Aki Mimi sijawahi piga magoti..watu walikuwa wanatukana hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza pale getini asbh nilikuwa napima upepo..nikiona soflin yupo basi napita..alikuwa hanipigi...akiwepo mofimu Mimi huyo napita geti la walimu huku nachechemea..na hivi nilikuwa na id yangu ya wagonjwa ilikuwa inanisaidia Sana.
Kuna siku nakumbuka niliisahau I'd na nimefika pale hakuna mwalimu anayenijua[emoji23][emoji1787][emoji1787]yaani hadi kufika darasani nilikuwa nimeku la fimbo za kutosha ile siku siji sahau.
Nasubiri I'd
Mimi mwenyewe shemeji yangu anafundisha mbeya day[emoji3][emoji3] kumbe wew mkorofi aiseee na tule tugauni twenu sindelela mlikua mnatuokoa getini mkija mnakuja Kasi mlinzi haelewi amshike Nani na sisi tunapenya humo humo[emoji3], Mimi mama anafundisha mbeya day Sasa gari tukawa tunapanda pamoja nashukia pale sangu anakuta tunasubir fimbo anasema wew Kila siku ni viboko tu, hio I'd unataka ya nn kwanza unataka uanze kumzoom dogo wa watu Kama anajimwambafai humu au?
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kesho i promise nitakutajia Ila pm sio public , usiku mwema mpendwaMimi mwenyewe shemeji yangu anafundisha mbeya day..Alikuwa ananishusha pale...kwanza nikichungulia tu kwa mbali naona fimbo zinawaka[emoji1787]
Mimi sikuwa mkorofi Bwana,ile I'd nilipewa maana niliwahi pata ajali kipindi nasoma pale na waalimu wengi walikuwa wananifahamu.
Kwanza Soflin alikuwa ananifokea akinikuta napita geti la wanafunzi. Ananiambia nikapite kule kwa waalimu ila Mimi nami nilikuwa napenda zile kashkash za pale geti letu, nikawa sikomi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitajie Bwana hiyo I'd..ni kwa njia njema tu.
Kwahiyo Leo nimesubiri burebure [emoji1751]Kesho i promise nitakutajia Ila pm sio public , usiku mwema mpendwa
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app