Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimeizoom hao watu
Nikasema huyu jamaa anatuzeveza tu hapa kumbe ana familia Yake nzuri ila kutwa kujilalamisha hapa nimuombee
ningejidai Sana ningekua na familia Kama hio nilikua nakaa na mdogo wa kike alivoanza kazi akataka Uhuru anakaa kwake nakaa na dogo alitaka kua dereva wa boda boda nilimjulia humu humu jf

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Oh Kumbe
Sasa huyo wajina si angekaa tu hapo Jamani...kwenda kuhangaika kukaa mwenyewe duh!
Natamani niulize I'd ya huyo unaekaa naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…