ismail hassan
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 696
- 1,629
Aisee, naomba uniajiri boss kazini kwakoNi kukusanya vijijini wakati wa mavuno kuhifadhi na kuja kuuza Mimi kwa Sasa mzigo mkubwa nauza NFRA( ghala la taifa )
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Wacha weeBaada ya kuuza mahindi miaka nenda miaka rudiView attachment 1592963
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Utaweza mdogo wangu na ulivo mtoto wa mama kudeka? Inataka kujikana kuhamia porini kwa muda. Ni Kijiji gani hiko je kipo huku huku southern highlands?Wacha wee
Nichangie mtaji na Mimi nianze kukusanya mahindi vijijini.
Kuna sehemu mahindi bei rahisi sana..mtaji wako tu.
Unanichukulia poa eeh!?Utaweza mdogo wangu na ulivo mtoto wa mama kudeka? Inataka kujikana kuhamia porini kwa muda. Ni Kijiji gani hiko je kipo huku huku southern highlands?
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kuna sabufa flani Kama hii ilinunuliwa Mwaka 2010,hadi Sasa inadunda..haijawahi kuharibika.Hilo sabufa toka Niko chuo miaka hiyoooo who remembers this brandhua linanikumbusha mbali Sana na halijawahi haribikaView attachment 1593131
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Na hii nlinununua 2009 ngumu balaaKuna sabufa flani Kama hii ilinunuliwa Mwaka 2010,hadi Sasa inadunda..haijawahi kuharibika.
Kaka yangu alinunua hiyo sabufa mwaka 2008 mpaka sasa bado ipo na inatumika sana tu....Hilo sabufa toka Niko chuo miaka hiyoooo who remembers this brandhua linanikumbusha mbali Sana na halijawahi haribikaView attachment 1593131
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kama kweli utaweza nitakupa hela kidgo ukusanye Kwanza gunia 50 nikupimeUnanichukulia poa eeh!?
Mimi nimeishi kijijini miaka mingi tu!
Ni hukuhuku yaani msimu ule wa kuvuna bei zake 3000-5000 debe.
Hebu nipe basi kazi mwenzio nakufa njaa.
Kweli aisee ngumu mno mchina alituliza akili enzi hizoKaka yangu alinunua hiyo sabufa mwaka 2008 mpaka sasa bado ipo na inatumika sana tu....
Ngumu muno hizo
SanaKweli aisee ngumu mno mchina alituliza akili enzi hizo
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kwema mkuu tumetoka mahangaikoni tunajipumzisha homSana
Kwema lakini mkuu
Vizuri sana kama ni kwema pande hizo mkuuKwema mkuu tumetoka mahangaikoni tunajipumzisha hom
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mungu ajaalie tufike muda wa mavunoKama kweli utaweza nitakupa hela kidgo ukusanye Kwanza gunia 50 nikupime
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mambo ya hela mkuu siunajuaMungu ajaalie tufike muda wa mavuno
Mbona hauniamini
Hizi sabufa umenikumbusha mbali sana, nilikua naunganisha wire wa audio mpaka kwenye laptop hapo ni mwendo wa mziki, movies, games ie NEED FOR SPEED, basi nilikua na enjoy najiona maisha si ndiyo haya sasa,Hilo sabufa toka Niko chuo miaka hiyoooo who remembers this brandhua linanikumbusha mbali Sana na halijawahi haribikaView attachment 1593131
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Mambo ya hela mkuu siunajuaIla naamini mlokoke huwez kengeuka kizembe, hio Bei Safi Sana aisee mzigo ukiwa mkubwa unapiga super profit. Let's wait
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kwa range ya Bei hio huwezi pata hasara maana Kuna mahali Mimi nanunua debe elfu nane na bado napata faida nzuri tu..wapo graduates mabinti Fulani wanapiga hizi Mambo aisee mpaka utapenda they are so professional
Kukuibia siwezi
Ukiona hela imepotea basi ujue nimepata hasara.
Hizi sabufa umenikumbusha mbali sana, nilikua naunganisha wire wa audio mpaka kwenye laptop hapo ni mwendo wa mziki, movies, games ie NEED FOR SPEED, basi nilikua na enjoy najiona maisha si ndiyo haya sasa,