Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,253
[emoji848][emoji848]una upendo wa agape wa kunidhamini million Saba? Ukijumlisha na spana za kule Twitter jumla milioni kumi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka tu,hakuna wa kukukamata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji848][emoji848]una upendo wa agape wa kunidhamini million Saba? Ukijumlisha na spana za kule Twitter jumla milioni kumi.
Acha masihara bidada![emoji41][emoji41]
[emoji16][emoji16]Mkuu hebu relax basi, sijaoa bado na sijaionja ladha ya ndoa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiweka picha hapa naifanyia maombi
Wenye hila ovu wote hawawezi kukupata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Mkuu hebu relax basi, sijaoa bado na sijaionja ladha ya ndoa.
Na pia nina project mingi zsijazitekeleza.[emoji4][emoji4]
Good [emoji122][emoji3583]View attachment 1587509
thanksGood [emoji122]
Kazi yenu ni njema Sanathanks
hakika inapendeza sana kwa sisi vijana kumtumikia yeye alietuumba kwa njia mbali mbali zikiwemo hizi za uimbaji!Kazi yenu ni njema Sana
Huwa nabarikiwa sana na muziki, kabla sijaabudu ukipigwa naziona nguvu za Mungu.
Nkiingiza vocal hapo inakuwa Moto, utukufu unamrudia Mungu mwenyewe juu mbinguni
🤣🤣🤣🤣hivi ni nani aliyeanzisha hako kamchezo ka singida dodom 😅😅😅
🥂🥂
Naweza kuipata hiyo 🥗 hapo mkuu.
Sijui alikuwa ukanda wa pwani huyo na mombasa Nairobi yake🤣🤣Huyu hapa 🤣🤣🤣
Naweza kuipata hiyo 🥗 hapo mkuu.
Nashukuru sana sana kakanguKaribu sana Dadaangu Chakorii
You are most welcome
Wacha weeeKazi yenu ni njema Sana
Huwa nabarikiwa sana na muziki, kabla sijaabudu ukipigwa naziona nguvu za Mungu.
Nkiingiza vocal hapo inakuwa Moto, utukufu unamrudia Mungu mwenyewe juu mbinguni