Many thanks on behalf of the photographer who made it visible....Good,keep it up young man.
Weka sasa na weweGood,keep it up young man.
Anne umetumwa nini?Zangu zipo kila peji wala sina sababu ya kujificha.Weka sasa na wewe
Mimi sijazionaAnne umetumwa nini?Zangu zipo kila peji wala sina sababu ya kujificha.
[emoji23]Haya,weka na yako sasa
Nigawie nywele hizo
Unataka mvi?Nigawie nywele hizo
NyweleUnataka mvi?
Ntakupa za kijana wangu Anne.Nywele
Hata kama Zina mvi haina shida
Yule mzuri eeh[emoji2960][emoji847]Ntakupa za kijana wangu Anne.
Anne naona unanileta kwenye ladies toilet sasa.Miezi kadhaa Huwa zinaota harakaYule mzuri eeh[emoji2960][emoji847]
Zako hizo zilichukua muda gani hadi zikawa hivyo?
Na mimi nataka nitengeneze ziwe kama hizoAnne naona unanileta kwenye ladies toilet sasa.Miezi kadhaa Huwa zinaota haraka
Ni za urithi wa asili ya mama.Kwa kifupi mama yangu nywele zake zilikuwa zinaota haraka sana.Na mimi nataka nitengeneze ziwe kama hizo
Nijibu basi
Oh Hapo sawaNi za urithi wa asili ya mama.Kwa kifupi mama yangu nywele zake zilikuwa zinaota haraka sana.
Weka na picha siyo kuuliza maswali tu.Oh Hapo sawa
Wewe ni chotara?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nijibu kwanzaWeka na picha siyo kuuliza maswali tu.
Hayo ndo mambo siyo kuuliza maswali bila picha.