cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
Cutieeeh [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Cutieeeh [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji492][emoji492][emoji492]View attachment 1570804
Nafikiri atakuwa anabanwa na majukumu tu pengine..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiiiiih lol
Hahahaha, Rafiki nipo ,nipo km ndugu msomajimtu chake... uko wapi siku hizi??umepotea sana jukwaani baba
Naona anataka kufuata nyayo za mkwepu jr ni mwendo wa kulike tu[emoji28][emoji28][emoji28]
HahahahaUmeona eeeeeh yaan kapotea km mgombea aliyekatwa kura za maoni. [emoji23][emoji23][emoji23]
Babu nifanye nini ili nami nipendwe namna hii,niwe naitwa tu kwenye majukwaa mbalimbali kila saa?
Mie namiss kuona [emoji2777] tyuuuuuhNafikiri atakuwa anabanwa na majukumu tu pengine..
Watu tunammiss huku[emoji41]
Usifanye hivyo rafiki yangu..hatujakuzoea kuwa ndugu msomaji..loh
Daddie ulipotelea wapi? Nlikumiss mnooohm
Umepata wivu Behaviourist 😆😆pouleBabu nifanye nini ili nami nipendwe namna hii,niwe naitwa tu kwenye majukwaa mbalimbali kila saa?
Usifanye hivyo rafiki yangu..hatujakuzoea kuwa ndugu msomaji..loh
Hahahaha, kampeni ziishe kwanza wadauDaddie ulipotelea wapi? Nlikumiss mnooohm
Umemiss nini kwakeMie namiss kuona [emoji2777] tyuuuuuh