Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Karibu chipsi mayai ya kienyeji na nyamaView attachment 1563189
Asante mkuu

Mi nakula ugali dona,mboga za majani,Dagaa,/samaki/nyama nyanya chungu,bamia,biringanya na makorokocho mengine..kama unahicho nilichokiandika [emoji115]niambie nije kula
Yani unakula manyama na mayai nachuro kabisa na mazaga mengine ya asili na bado mwembamba[emoji28][emoji28]daslamu si ungekata moto blaza
Nyanya chungu huwa nasikia siyo salama kula mwanamke eti anaweza akapata usijali kwenye vita majimaji[emoji1]
Labda zile nyeupe.mi nakulaga zile chungu kabisa zinazoitwa ngogwe.kama ngogwe zinaleta vita ya maji maji [emoji28][emoji28][emoji28]basi nitakuwa ninamtera[emoji28][emoji28]
Hebu weka picha acha kuongea sana kaka
Hahaha...wembamba wangu wa asili mkuu wangu
[emoji1][emoji1]Chakorii bhana
Niweke picha ya nini?
Wacha weee..hongera aise..
Sie wengine tu kila usiku asubuhi tushafutuka[emoji1787][emoji1787]
Ukinena na PM yangu hakika nakuhakikishia kila usiku asubuhi huwezi kufutuka maana nitakuwa nakutendea haki sitahiki mkuu[emoji1]


NIMESHIBA
Hapana mkuu.asante sana..hii haki ninayotendewa inatosha kabisa [emoji1635][emoji1635]
Unaumwa jino kama mimi mkuu[emoji41][emoji41]
Hahahahaha.......

Hapana naumwa niniliu....
Hiyo naniliu Baki nayo tu aise
Hahahaha, nyie marafiki wazuri sana,nawafuatilia kwa ukaribu mno
 
Back
Top Bottom