Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
Hahahaha...AkuamkieHebu kwenda huko mi si mdogo wako
Hahahaha...AkuamkieHebu kwenda huko mi si mdogo wako
Dadako.acha mambo ya ajabuIla wewe ni nani yangu?
Ndio aniamkie huko acha mambo yake🤪🤪Hahahaha...Akuamkie
HahahahaNdio aniamkie huko acha mambo yake![]()
Hahahaha, awe na adabuDadako.acha mambo ya ajabu
Sana tu..maana ni dada ake nani mama pia.😎😎Hahahaha, awe na adabu
HahahahaSana tu..maana ni dada ake nani mama pia.![]()
😅😅Hahahaha
Shikamo dadaDadako.acha mambo ya ajabu
Marahaba mdogo wangu😆😆😆😆Shikamo dada
PoleniYeah but it felt like 3. Lol
Kuna siku zilikuwa 9 asubuhi na hakukua na baridi, ila jana aisee zote zile lakini kulikuwa na baridi hiyo acha tu.
Ila wewe ni nani yangu?
Dadako.acha mambo ya ajabu
Shikamo dada
Hahahaha, mnajua nyieMarahaba mdogo wangu![]()
Ooooh vzr ,inapendezaTunajuana humu humu JF..nje ya hapa hakuna hata mmoja anaemfahamu mwenzie mtu chake
@mtu chakeHahahaha, mnajua nyie
Mimi nakufahamu/kujua wewe tena naweza kukuchora jinsi ulivyoTunajuana humu humu JF..nje ya hapa hakuna hata mmoja anaemfahamu mwenzie mtu chake
☺️☺️☺️Ooooh vzr ,inapendeza
😳😳wewe unanijua tena??Mimi nakufahamu/kujua wewe tena naweza kukuchora jinsi ulivyo
Sana tena vizuri munowewe unanijua tena??